Ahmed amesema tayari Viingilio hivyo vimetangazwa mapema ili kuwawezesha mashabiki kununua tiketi kwa sababu ya kuepusha usumbufu siku zikiwa zimekaribika.
Hivi hapa Viingilio kamili vilichopangwa:
Tanzanite - Tsh. 250,000
Platinum - Tsh. 150,000
VIP A - Tsh. 30,000
Advertisement
VIP B - Tsh. 20,000
VIP C - Tsh. 10,000
Mzunguko - Tsh. 5,000
Ahmed amesema wapinzani wetu Petro Atletico watawasili nchini Novemba 19 ambapo waamuzi wa mchezo huo wanatoka Congo Brazzaville.