Simba Sports Club
News

Hiki hapa kikosi cha Maveterani

28 Jul 2024

Maveterani walianzia hatua ya pili huku wakiibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Simba Hatari na kutinga moja kwa moja robo fainali.

Kikosi kamili kilivyopangwa:

Advertisement

Kelvin Mhagama, Mustafa Hoza, Lubiga Lubigisa,Mohamed Banka, Julius Mrope, Haruna Moshi, Dua Saidi, na Japhet Mamboleo.

Back to homepage
Share this story