Simba Sports Club
News

Highlights: Tazama mabao yote ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal

21 Sep 2023 By simbasc 293 views
Tumefanikiwa kupata kushindi mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Tazama hapa jinsi mabao yalivyofungwa pamoja na baadhi ya matukio yaliyotokea.   https://youtu.be/RLfbf-al6Xo?si=DCxzR9ex_oNp1k9B
Advertisement
Back to homepage
Share this story