Simba Sports Club
News

Highlights: Tazama mabao yote ushindi wa 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji

20 Aug 2023 By simbasc 212 views
Tumefanikiwa kushindi mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uhuru, Dar es Salaam. Tazama hapa jinsi mabao yalivyofungwa pamoja na baadhi ya matukio yaliyotokea.   https://youtu.be/2VbG1qsWKAc
Advertisement
Back to homepage
Share this story