Simba Sports Club
News

Highlights: Simba 1-1 Azam FC

9 Feb 2024 By simbasc 1,957 views
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Tazama jinsi matukio mbalimbali yaliyotokea pamoja na jinsi mabao yote mawili yalivyopatikana.   https://youtu.be/71W-D7vEjqY?si=Xy75E3eMvREjg_Bm
Advertisement
Back to homepage
Share this story