Simba Sports Club
News

Highlights: JKT Tanzania 0-1 Simba

15 Feb 2024 By simbasc 444 views
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania uliopigwa Uwanja wa Meja Jenerali Michael Isamuhyo umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao moja. Tazama jinsi matukio mbalimbali yaliyotokea pamoja na jinsi bao letu ambalo limefungwa na Clatous Chama lilivyokuwa.   https://youtu.be/2z8c-KkIoII?si=NyNLB5KCCgH5ehBk
Advertisement
Back to homepage
Share this story