Kikosi cha wachezaji 26 kipo safarini kuelekea nchini Misri kupitia Dubai kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Al Ahly utakaopigwa siku ya Ijumaa saa nne usiku kwa saa za nyumbani.
Kocha Didier Gomez amesema wazi kuwa anataka kuweka heshima licha ya kufuzu kwenda robo fainali hivyo ameondoka na kikosi kamili kwa ajili ya mchezo huo.
Kikosi Kamili kilicho safiri
Makipa
Aishi Manula
Beno Kakolanya
Ally Salim
Mabeki
Advertisement
Shomari Kapombe
Joash Onyango
Pascal Wawa
Ibrahim Ame
Erasto Nyoni
Gadiel Michael
Mohamed Hussein
Kennedy Juma
David Kameta
Viungo
Jonas Mkude
Rally Bwalya
Said Ndemla
Mzamiru Yassin
Luis Miquissone
Hassan Dilunga
Clatous Chama
Bernard Morrsion
Francis Kahata
Taddeo Lwanga
Washambuliaji
Medie Kagere
John Bocco
Ibrahim Ajib
Kope Mugalu