Simba Sports Club
News

Hawa hapa nyota 22 wanaoifuata Prisons

3 Oct 2023 By simbasc 174 views
Kikosi kinaelekea jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Uwanja wa Sokoine siku ya Alhamisi saa 10 jioni. Kikosi kinaondoka na wachezaji 22. Hiki hapa kikosi kamili. Makipa: Ayoub Lakred, Ally Salim na Hussein Abel Walinzi: Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Israel Mwenda, Hussein Kazi, Kennedy Juma na Che Malone Fondo Viungo: Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, Mzamiru Yassin, Saidi Ntibazonkiza, Willy Onana, Clatous Chama, Abdallah Hamisi na Luis Miquissone. Washambuliaji: Jean Baleke, Moses Phiri, Denis Kibu, John Bocco na Shabani Chilunda.
Advertisement
Back to homepage
Share this story