Simba Sports Club
News

Hamza kurejea nchini kesho

9 Dec 2025

Hamza amefanyiwa upasuaji huo Disemba mosi mwaka huu kufuatia kupata majeraha katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliofanyika Septemba 16 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Upasuaji huo umefanyika katika Kliniki ya Zerktouni ambayo pia mlinda mlango wetu Moussa Camara alifanyiwa upasuaji wake hapo mwezi uliopita.

Advertisement

Sasa ni rasmi mlinzi huyo atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi nane kuendelea kuuguza jeraha hilo.

Back to homepage
Share this story