Simba Sports Club
News

Hamasa inaendelea kuwaita Wanasimba Jumamosi kwa Mkapa

22 Nov 2023

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amewaomba mashabiki kutoka Vingunguti Tawi la Simba Support Vingunguti kuja uwanjani,

"Tumekuja kuwaalika rasmi hapa Vingunguti na kuwaambia Novemba 25 tunajambo letu Benjamin Mkapa leo mambo sio mengi sana jambo ni moja hakikisha unanuna tiketi yako.

Advertisement

"Mfuate Mwanasimba popote alipo mwambie anunue tiketi Jumamosi tukutane kwa Mkapa tukachukue alama zetu tatu kutoka kwa ASEC," amesema Ahmed.

Back to homepage
Share this story