Mchezo ulianza kwa kasi huku timu zikishambuliana kwa zamu lakini tulifika zaidi langoni mwa Dodoma ingawa tulishindwa kuzitumia
Kipindi cha pili tulirudi kwa kasi huku Dodoma wao wakionekana kulinda zaidi lango lao wakati huo huo wachezaji wapo wakitumia mbinu za kupoteza muda muda.
Takribani kipindi chote cha pili tulimiliki sehemu kubwa ya mchezo huku wapinzani wetu wote wakiwa nyuma.
Matokeo haya yanatufanya kufikisha alama 23 tukipanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo baada ya kucheza mechi tisa.
X1: Mgore, Bikoko, Gadiel, Banda, Kibuta, Munganga, Hoza (Mhilu 90'), Khelffin (Milandu 73'), Nsata (Anderson 45'), Edger (Junior 90+9') Kayanda (Maguri 82')
Waliionyeshwa kadi: Kibuta 51' Anderson 69' Edger 69' Khelffin 74' Mgore 90+4'
X1: Kassali, Kapombe, Kibabage, Toure, De Reuck, Kagoma (Mwangosi 90+4'), Gueye (Mpanzu 63'), Loemba, Mwalimu (Kante 63') Chama, Oura
Waliionyeshwa kadi: