Simba Sports Club
News

Habari Picha: Uzinduzi wa Hamasa Mnazi mmoja Zanzibar

22 May 2025

Msafara wa hamasa umeanzia Bandarini na kupita Malindi hadi Darajani na kuelekea Mnazi mmoja ambapo uzinduzi ulifanyika.

Tumekuwea picha za matukio mbalimbali wakati wa zoezi zima la hamasa kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story