Simba Sports Club
News

Habari Picha: Ushindi dhidi ya Coastal jana

22 Sep 2023

Katika mchezo huo ambao umetufanya kufikisha alama tisa baada ya kushinda mechi zote tatu za ligi ambapo mabao yote matatu yamefungwa na mshambuliaji, Jean Baleke.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati wa mchezo huo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story