Simba Day 2025 imepangwa kwa burudani mbalimbali mechi za kirafiki za awali kabla ya Msanii wa Bongo Fleva, Mbosso kufanya 'balaa zito' la kuwapa furaha Wanasimba.
Kivutio kingine kikawa jinsi Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally alivyoingia uwanjani kitofauti kwa ajili ya kutambulisha kikosi chetu tutakachokitumia katika msimu wa 2025/2026.
Advertisement
Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati Tamasha lilipoanza mpaka lilipohitimishwa kwa ushindi muruwa wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia.