Leo ilikuwa siku ya mapumziko na hakukuwa na programu yoyote ya mazoezi hivyo benchi la ufundi likapendekeza wachezaji watembelee vivutio hivyo vya utalii ili kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo historia ya nchi ya Misri.
Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati kikosi kikiwa kwenye ziara hiyo ya Utalii.