Simba Sports Club
News

Habari Picha: Timu yafanya Mazoezi Maisara

6 Jan 2026

Nyota wawili Jonathan Sowah na Jean Charles Ahoua ambao wamechelewa kujiunga na timu nao wamejumuika katika mazoezi hayo.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati kikosi kikiwa kinaendelea na mazoezi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story