Simba Sports Club
News

Habari Picha: Timu ilivyowasili Tanga

1 Dec 2022

Timu ilianza safari mchana baada ya mazoezi ya asubuhi na wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali ya wachezaji wakati timu ikiwasili jijini Tanga.

Advertisement
Back to homepage
Share this story