Simba Sports Club
News

Habari Picha: Timu ikiondoka kuelekea Kagera

16 Dec 2021

Kikosi chetu kinasafiri mchana huu kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Kaitaba saa 10 jioni.

Kikosi kimeondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) na moja kwa moja kitaelekea hadi Kagera tayari kwa mchezo huo.

Advertisement

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wachezaji wakiwa Uwanja wa Ndege kabla ya kupaa.

Back to homepage
Share this story