Viongozi hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa Wanachama, Murtaza Mangungu naMtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez walizunguka uwanja mzima kuwashuru mashabiki kwa kuwa ndiyo mchezo wetu wa mwisho katika uwanja wa nyumbani.
Barbara alimkabidhi jezi maalumu mtoto Bernadetha Joseph (5) kwa niaba ya mashabiki nchi nzima kwa ajili ya kuwashukuru.
Advertisement
Tumekuwekea picha za matukio yote yaliyotokea baada ya kumalizika kwa mchezo.