Simba Sports Club
News

Habari Picha: Tazama Uwanja wa Mkapa unavyoonekana kwa juu

19 Sep 2021 By simbasc 2,548 views

Mashabiki wetu wamejitokeza kwa wingi na wameujaza Uwanja mzima wa Benjamin Mkapa wenye uwezo wa kuingiza watu 60,000 walioketi.

Hadi saa saba mchana uwanja ulikuwa tayari umejaa huku mashabiki wengine wengi wakiwa bado wapo nje.

Advertisement

Tumekuwekea picha mbalimbali zilizopigwa na camera kutokea juu (drone) kuona mandhari ya uwanja ulivyopendeza.

Back to homepage
Share this story