Simba Sports Club
News

Habari Picha: Tazama Familia zilivyofurahia soka Safi kwa Mkapa

5 Feb 2023

Ukicha soka safi lililokuwa linaendelea uwanjani, jukwaani kulipendeza kwa familia mbalimbali zilizokuwa zikipata burudani maridhawa.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali ya mashabiki wetu waliokuja uwanjani pamoja na familia zao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story