Simba Sports Club
News

Habari Picha: Nyota 11 wawasili salama Ismailia

3 Aug 2025

Meneja wa timu Patrick Rweyemamu ndiye aliyewapokea nyota hao na tayari wamejiunga pamoja na wachezaji wenzao.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati nyota hao walipofika kambini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story