Simba Sports Club
News

Habari Picha: Mazoezi ya mwisho kabla ya timu kuifuata Mtibwa

9 Mar 2023

Kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Manungu keshokutwa Jumamosi saa 10 jioni kuikabili Mtibwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati wachezaji wakiwa mazoezini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story