Simba Sports Club
News

Habari Picha: Mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Polisi Kesho

5 Jun 2023 By simbasc 235 views
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho Gym kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigiwa Uwanja wa Azam Complex kesho saa moja usiku. Tazama picha za matukio mbalimbali wakati wachezaji walivyokuwa wakifanya mazoezi hayo.
Advertisement
Back to homepage
Share this story