Wachezaji wameshiriki kikamilifu mazoezi hayo ambayo yamemalizika salama bila yoyote kupata maumivu.
Kiungo mshambuliaji, Clatous Chama amejiunga na kikosi na amefanya mazoezi pamoja na wenzake baada ya kumaliza majukumu ya timu yake ya taifa ya Zambia.
Advertisement
Tunajua mchezo utakuwa mgumu mgumu na tunaiheshimu Power Dynamos lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda.