Simba Sports Club
News

Habari Picha: Mazoezi ya Leo

11 Aug 2023

Kikosi chetu kimefanya mazoezi kujiandaa na mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumapili katika Uwanja wa CCM Mkwakwani.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati mazoezi hayo yakiwa yanaendelea.

Advertisement
Back to homepage
Share this story