Simba Sports Club
News

Habari Picha: Mazoezi ya Leo

31 Oct 2023

Baada ya mazoezi kikosi kimeingia kambini moja kwa moja kuendelea na maandalizi ya mchezo huo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati wachezaji wakiwa mazoezini katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena.

Advertisement
Back to homepage
Share this story