Simba Sports Club
News

Habari Picha, Mazoezi ya jioni Simba

16 Nov 2021

Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu wa Ligi dhidi ya Ruvu Shooting utakao fanyika Ijumaa, CCM Kirumba.

Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa Boko Veterans chini ya kocha mkuu, Pablo Franco na wasaidizi wake.

Advertisement

Katika mazoezi ya leo pia alikuwepo kocha mpya wa viungo Don Daniel De Castro ambaye ametua nchini jana tayari kuongeza nguvu katika benchi la ufundi.

Angalia picha za matukio mbalimbali za mazoezi ya leo

Back to homepage
Share this story