Kocha Mkuu Roberto Oliviera 'Robertinho' amesema kuanzia leo mazoezi yatakuwa mara mbili asubuhi na jioni ili kuongeza kasi na mbinu kwa wachezaji.
Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati kikosi kikiwa mazoezini.