Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya gym baada ya mchezo wa jana ili kurejesha utimamu wa mwili kwa wachezaji.
Baada ya mechi wachezaji wanatakiwa kufanya mazoezi ya kurejesha utimamu wa mwili (recovery) ambao ni utaratibu wa kawaida wa timu yetu.
Advertisement
Tazama picha za matukio mbalimbali ya wachezaji wetu wakiwa katika mazoezi hayo.