Timu imeingia kambini jana baada ya ushindi wa mchezo wa kwanza na maandalizi yanaendelea vizuri huku wachezaji wote wakishiriki.
Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati kikosi kikifanya mazoezi katika uwanja wetu wa Mo Simba Arena.