Leo tumefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC iliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Tazama picha za matukio mbalimbali yaliyojitokeza kwenye mchezo huo.