Viongozi mbalimbali wa klabu wakiongozwa na Mwenyekiti upande wa wanachama Murtza Mangungu, Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez, Meneja wa Habari na Mawasiliano Ahmed Ally, wadhamini, wanachama na mashabiki walihudhuria.
Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali yaliyotokea wakati uzinduzi huo ulikuwa na shamra shamra za aina yake.