Viongozi wakuu wa klabu, wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, wawakilishi wa wadhamini wamehudhuria hafla hiyo iliyofanyika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam.
Tumekuwekea picha za matukio yote yaliyotokea katika hafla hiyo.