Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga hatua ya nne ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuifunga JKT Tanzania bao moja katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Tumekuwekea matukio mbalimbali katika picha ya mchezo mzima ulivyokuwa.
Advertisement
Tazama picha za matukio hayo hapa.