Simba Sports Club
News

Habari Picha: Matukio mbalimbali ya mchezo dhidi ya Red Arrows

28 Nov 2021

Kikosi chetu kimefanikiwa kuondoka na ushindi mnono katika uwanja wa nyumbani na kutufanya kuwa karibu kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Licha ya mvua kunyesha na kuufanya uwanja kujaa maji lakini kikosi chetu kilimiliki mchezo mzima na tulikuwa na nafasi za kupata mabao zaidi ya matatu.

Advertisement

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali yaliyotokea wakati wa mchezo huo.

Back to homepage
Share this story