Simba Sports Club
News

Habari Picha: Matukio mbalimbali ya mazoezi ya jioni

29 Oct 2021

Ikiwa imebaki siku moja kabla ya timu yetu kushuka dimbani kuikabili Coastal Union kikosi chetu kimeendelea na maandalizi kujiandaa na mtanange huo.

Jioni ya leo kikosi kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Boko Veterans kujiwinda na mechi hiyo ambayo itafanyika Jumapili kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

Advertisement

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali za wachezaji wetu katika mazoezi hayo.

Back to homepage
Share this story