Simba Sports Club
News

Habari Picha: Matukio Mbalimbali utiaji saini udhamini na MobiAd

23 Mar 2023

Hafla hiyo ya utiaji saini imefanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambapo viongozi wa pande zote mbili wamehudhuria.

Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali wakati zoezi hilo la utiaji saini likifanyika lakini lilitanguliwa na maelezo kutoka kwa viongozi wa pande zote.

Advertisement
Back to homepage
Share this story