Kikosi chetu leo kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Jwaneng Galaxy katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa Uwanja wa Taifa wa Botswana.
Tazama picha mbalimbali za matukio wakati wa mchezo huo ambao umetufanya kuwa kwenye nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi.