Simba Sports Club
News

Habari Picha: Matukio mbalimbali mchezo dhidi ya Vipers jana

8 Mar 2023

Katika mchezo huo ambao tuliumiliki kwa sehemu kubwa ushindi wake umetufanya kurejesha matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Tazama picha za matukio mbalimbali ya ndani na nje ya uwanja wakati wa mchezo huo ukiendelea katika dimba la Benjamin Mkapa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story