Simba Sports Club
News

Habari Picha: Mapokezi makubwa baada ya timu kutua Dar

28 Apr 2025

Kikosi chetu kimefika hatua hiyo baada ya kuitupa nje Stellenbosch ya Afrika Kusini kwa jumla ya bao moja na kuhitimisha miaka 32 ya kukaa bila kucheza fainali ya CAF.

Tumekuwekea Picha za matukio mbalimbali wakati kikosi kikiwasili nchini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story