Ni siku ambayo imekuwa furaha kwa Wanasimba waliokuwa wamejaa katika Uwanja huo kushuhudia mchezo huo ambao umemalizika kwa ushindi wa mabao 2-0 na kuibuka vinara wa kundi A.
Tumekuwekea Picha za matukio mbalimbali yaliyotokea Mwembeyanga kabla na baada ya mchezo huo