Baada ya mazungumzo hayo na Mh. Balozi kikosi kiliendelea na safari ya kuelekea Durban ambapo mchezo wetu wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch utapigwa.
News
Habari Picha: Kikosi chawasili salama Afrika Kusini
23 Apr 2025