Simba Sports Club
News

Habari Picha: Kikosi chaanza safari kuelekea Misri

28 Mar 2025

Kikosi kimeondoka na wachezaji 22 kikisafiri kwa Ndege ya Shirika la Misri ambapo kitapitia Jiji la Cairo kabla ya kwenda katika mji wa Ismailia.

Tumekuwekea Picha za matukio mbalimbali kikosi kikiwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa safari.

Advertisement
Back to homepage
Share this story