Simba Sports Club
News

Habari Picha: Angalia Matukio mbalimbali tulivyoichakaza Horoya Wiki

18 Mar 2023

Ushindi huo mnono umetufanya kufikisha pointi tisa ambazo haziwezi kufikiwa na timu za Horoya na Vipers ambao wapo chini yetu.

Tazama picha za matukio mbalimbali yaliyotokea pamoja na shangwe la mashabiki waliojitokeza kwa wingi Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story