Usajili wa Gueye tumeutangaza leo mchana na jioni amejumuika pamoja na wachezaji wenzake katika Uwanja wa Mo Simba Arena.
Pamoja nakuwa ndio mazoezi yake ya kwanza akiwa ndani ya jezi ya Simba, Gueye ameonyesha uwezo mkubwa huku akioneka haitamchukua muda mrefu kabla ya kuzoeana na wenzake.
Advertisement
Gueye ndio usajili wa kwanza tulioufanya katika kipindi cha dirisha hili dogo la usajili la mwezi Januari.