Simba Sports Club
News

Gadiel: Kambi yetu iko vizuri Misri

19 Jul 2022

Gadiel amesema kwa muda mfupi aliofanya mazoezi na kocha Zoran Maki amegundua kuna vitu vipya ambavyo vitakuwa msaada mkubwa msimu ujao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story