Fuatilia hapa moja kwa moja Updates za mchezo huu kuanzia dakika ya kwanza hadi mwisho ili kujua kila kinachoendelea.
Dakika ya 1 - Mchezo umeanza Turan PFK 0-0 Simba SC
Dakika ya 5 - Simba wanapata kona baada ya shuti Akramo kuokolewa na kipa
Dakika ya 10 - Mpira ni wakasi sana timu zote zikishambuliana
Dakika ya 20 - Mpira unachezwa kila timu inashambulia
Mpira ni Mapumziko - Kipindi cha kwanza kimemaliza cha dakika 30
Kipindi cha Pili - Mchezo umeanza Turan PFK 0-0 Simba SC
Dakika ya 8 - Anaingia John Bocco na Jean Beleke anatoka Moses Phiri na Shaban Chilunda
Dakika ya 13 - Baleke anafunga mwamuzi anakataa goli (Offside) In (Kibu Dennis, Mohamed Mussa out Peter Banda na Akramo)
Dakika ya 14 - Kibu Dennis anatuinua baada ya kutumia makosa ya beki wa Turan PFK - Eltun Turabov
Dakika ya 25 - Mohamed Mussa anapiga kona inaokolewa na mabeki wa Turan PFK
Dakika ya 26 - John Bocco anatufungia goli la pili baada ya kupokea pasi nzuri ya Baleke
Mpira Umekwisha - Turan PFK 0-2 Simba SC