Fatilia hapa live update
Dakika ya kwanza - Simba Sc 0-0 El Qanah FC
10' - Bado bila mpira unapigwa
14' - Ahoua anafunga goli la kwanza faulo inaenda moja kwa moja
16' - Bao la pili, Ahoua anafunga bao baada ya mabeki wa El Qanah, kushindwa kuzuia pasi ya Chamou
20 - Simba Sc 2-0 El Qanah FC
27 - (Water Break) Mapumziko mafupi
30 - Mpira unaendelea Simba Sc 2-0 El Qanah FC
35 - Simba Sc 2-0 El Qanah FC
40 - Mpira mapumziko Simba Sc 2-0 El Qanah FC
- Mechi itachezwa kwa vipindi vitatu kila kimoja kitakuwa na dakika 40.
Kipindi cha pili kimeanza Simba Sc 2-0 El Qanah FC
Dakika ya 2 kipimdi cha pili golikipa Ally Salim anaokoa shuti kali golini
Dakika ya 10 Kipindi cha pili mpira unachezwa kati kati ya uwanja
Dakika ya 12. Mabadiliko wanatoka Ahoua na Fredy - wanaingia, Okejepha na Valentino Mashaka
Dakika ya 15 - Mzamiru anatoka anainga Omary Omary
Dakika ya 20 - Mutale anapiga pasi nzuri kwa Mashaka anashindwa kufunga mpira unaenda mikononi mwa kipa
Dakika ya 23 - El Qanah inafanya mabadiliko ya wachezaji tisa kwa pamoja .
Dakika 25. Mabadiliko wanatoka, Ally Salim, Kapombe, Tshaba, Che Malone, Chamou, Ngoma , Mutale na Balua
Wanaingia, Abel, Kijili, Nouma, Duchu, Karabaka, Debora na Chasambi
Dakika ya 30 - Mpira unachangamka kweli kweli
Dakika ya 40 - Kipindi cha pili cha mchezo kimekwisha
Kipindi cha tatu kimeanza - Simba Sc 2-0 El Qanah FC
Dakika 9, - Wametoka, Debora, Kijili na Mashaka - Wameingia, Awesu, Mukwala na Abdulrazack
Dakika ya 12 - Mpira unachezwa kati kati ya uwanja maufunfi mengi
Dakika ya 15 - Awesu Awesu analitawala dimba vizuri
Dakika ya 20 - Mpira unachezwa kwa kasi sana
Dakika 10, zimebaki kabla ya kipindi cha tatu kuisha, mechi inaendelea inachezwa pasi zaidi kwa timu zote na hakuna mashambulizi ya hatari
Dakika 40. Okejepha anafunga bao la tatu baada ya kupokea pasi safi ya chini chini kutokea kwa Ladack Chasambi