Mchezo huo utakuwa wa nne wa kirafiki tangu tulipokuja hapa Misri na utaanza saa mbili na nunu usiku kwa saa za nyumbani.
Tutakuwekea updates za picha na kila kinachoendelea katika App yetu ili kuhakikisha haupitwi na kitu.
Kikosi chetu kilichopangwa kuikabili Al Kholood katika mchezo wa leo
1. Beno Kakolanya 2. Israel Patrick 3. Gadiel Michael 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga 6. Jonas Mkude
7. Pape Sakho 8. Victor Akpan 9. Habibu Kyombo 10. Augustine Okrah 11. Peter Banda
Kikosi kinapasha misuli tayari kwa mchezo wetu wa kirafiki
Kick off - Simba SC vs Al Kholood
5' - Simba SC 0-0 Al Kholood
10’ - Mpira uanchezwa kati
15' - Timu zote zinashambuliana kwa zamu
17' - Kona ya kwanza ya mchezo tunapata Simba
20' - Nahodha wa mchezo wa leo ni Joash Onyango
25' - Al Kholood wanapata kona ya kwanza
27' - Gadiel anatuandikia goli la kwanza akipokea pasi kutoka kwa Kyombo
35' - Simba SC 1-0 Al Kholood
44' - Okrah anatupatia goli la pili akipokea pasi ya Gadiel
45' - Mapumziko - Simba SC 2-0 Al Kholood
Kipindi cha Pili Kimeanza
50' - Simba SC 2-0 Al Kholood
57' - Wanatoka - Henock,Sakho na Okrah
Wanaingia - Nyoni, Chama na Phiri
60' - Al Kholood wanapata kona wakiwa wanashambulia
65' - Mpira unachezwa kwa kasi huku tukishambuliana kwa zamu
70' - Wanatoka Beno na Kyombo
wanaingia - Ally Salim na Jimmyson
75' - Al Kholood wanashambulia kwa kasi
80' - Mchezo unaendelea vizuri
85' - Mchezo unaenda kwa kasi sana huku tukishambulia kwa umakini
Full Time - Simba SC 2-0 Al Kholood